Saturday, 30 June 2012

[wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OD MUSLIM MILITANCY

Kwa anaetaka kujua mengi na zaidi kuhusu Waislam wa Tanzania na uhusiano wao na Serikali na Kanisa asome mswada huo. Mohamed Said ---------- Forwarded message ---------- From: mohamed said <mohamedsaid54@gmail.com> Date: Sun, 10 Jun 2012 07:19:01 +0300 Subject: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OD MUSLIM MILITANCY To: mohamedsaid54@gmail.com -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu...
Read More :- "[wanabidii] Fwd: CHRISTIAN HEGEMONY AND THE RISE OD MUSLIM MILITANCY"

[wanabidii] Muungano wa Tanzania

je muungano wa Tanzania na Zanzibar ni halali , kama jibu ni ndio , mkataba wake uko wapi na kama ni sio kwanini usivunjike -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone...
Read More :- "[wanabidii] Muungano wa Tanzania"

[wanabidii] Taasisi ya masheikh na wanazuoni wa Kiislamu yawataka Waislamu Kushiriki Sensa

Taasisi ya masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania imeunga mkono kauli iliyotolewa hivi karibuni na Sheikh mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban Simba ya kuwataka waislamu na watanzania kote nchini kushiriki kikamilifu katika Sensa ya watu na Makazi itakayofanyika Agosti 26 mwaka huu. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kwa niaba ya mwenyekiti wa jopo la masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania Sheikh...
Read More :- "[wanabidii] Taasisi ya masheikh na wanazuoni wa Kiislamu yawataka Waislamu Kushiriki Sensa"

[wanabidii] Robinson Mchau updates

mambo yanazidi kupamba moto, mwisho wa Robinson Mchau umefika - kuna mdada mmoja walienda na Robinson Mchau kujitambulisha kwa wazazi wa mdada uko Moshi vijijini, ikaandaliwa sherehe kubwa ya utambulisho, jamaa kala ubwabwa na soda, akaahidi ndoa itakuwa ivi karibuni. ndugu wa mdada wakamhoji Robinson Mchau "je una mke au mdada mwingine umemtakia kumuoa? ili isije ikawa binti yetu akapata madhara au laana kwa kuchukua mwanamme...
Read More :- "[wanabidii] Robinson Mchau updates"

[wanabidii] Dr Steven Ulimboka anapelekwa Nje kwa Matibabu zaidi

Kiongozi wa Chama cha Madaktari Tanzania Dr Steven Ulimboka anapelekwa Nje kwa Matibabu zaidi haijajulikana anaelekea nchi gani . -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum...
Read More :- "[wanabidii] Dr Steven Ulimboka anapelekwa Nje kwa Matibabu zaidi"

[wanabidii] LETTER TO PRESIDENT JAKAYA KIKWETE ON RE-FLAGGING IRAN TANKERS

Dear President Kikwete, I am writing to express my deep dismay that Tanzania has permitted the National Iranian Tanker Company (NITC), to reflag at least 6 and as many as 10 of its vessels under the Tanzanian ship registry, allowing them to remain under NITC ownership and continuing to transport Iran's crude oil exports. This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions...
Read More :- "[wanabidii] LETTER TO PRESIDENT JAKAYA KIKWETE ON RE-FLAGGING IRAN TANKERS"

[wanabidii] Group files ethics complaint against Board of Regents member Raster over Tanzania project

http://www.therepublic.com/view/story/0aaff6bf8b3a4b8ab39c5a4c2a6a4a0a/IA–Regent-Ethics-Complaint DAVID PITT  Associated Press June 19, 2012 – 2:02 pm EDT DES MOINES, Iowa — A watchdog group filed an ethics complaint Tuesday against Iowa Board of Regents member Bruce Rastetter, accusing him...
Read More :- "[wanabidii] Group files ethics complaint against Board of Regents member Raster over Tanzania project"

[wanabidii] Tanzania Now to Face Sanctions over IRAN

WASHINGTON | Fri Jun 29, 2012 1:39pm EDT (Reuters) - Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oil tankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday. Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker...
Read More :- "[wanabidii] Tanzania Now to Face Sanctions over IRAN"

Friday, 29 June 2012

[wanabidii] Kenya's US envoy quits over rift with Washington

    Kenya's US envoy quits over rift with WashingtonReuters – 3 hrs ago NAIROBI (Reuters) - The U.S. ambassador to Kenya has resigned just over a year after taking up the post, citing differences with Washington over priorities and his style of leadership, an embassy statement said on Friday. Scott Gration's departure came a week after the U.S. embassy warned of a threat of an imminent militant...
Read More :- "[wanabidii] Kenya's US envoy quits over rift with Washington"

[wanabidii] TAARIFA JUU YA USAJILI WA MELI ZA NJE ULIOFANYWA NA SMZ

TAARIFA KWA BARAZA LA WAWAKILISHI JUU YA USAJILI WA MELI ZA NJE ULIOFANYWA NA SMZ KUPITIA MAMLAKA YA USAFIRI BAHARINI ZANZIBAR MARITIME AUTHORITY – ZMA Friday, June 29, 2012 Mhe. Spika, Tarehe 27/06/2012 Vyombo vya Habari hapa Tanzania (The Citizen) na nchi za nje (International news Agency – Bloomberg) viliandika makala kuhusu usajili wa meli 10 za mafuta (Tankers). Ilidaiwa katika makala hayo kuwa Meli hizo zilisajiliwa Zanzibar...
Read More :- "[wanabidii] TAARIFA JUU YA USAJILI WA MELI ZA NJE ULIOFANYWA NA SMZ"

[wanabidii] High Court Nulifies the 47 Kibaki appointments!

    Home News Politics  Politics Court nullifies Kibaki's list of County bosses   Share Bookmark Print  Email Email this article to a friendFriend's Email Address Your Email Message Submit Cancel Rating Lady Justice Mumbi Ngugi nullified...
Read More :- "[wanabidii] High Court Nulifies the 47 Kibaki appointments!"

[wanabidii] Jeshi la polisi na Jumuiya ya Muamsho Zanzibar

Jeshi la pllisi Tanzania limezingira viwanja vya lumumba Zanzibar, kwa kuzuwia muhadhara wa Jumuiya ya muamsho uliopangwa kufanyika leo, lakini hata hivyo jumuiya hiyo imehamishia muahadhara wake katika viwanja vya malindi zanzibar. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com...
Read More :- "[wanabidii] Jeshi la polisi na Jumuiya ya Muamsho Zanzibar"

[wanabidii] TAARIFA ZA ASKARI WA FFU KUUWAWA TEGETA

Ndugu zangu Naomba mwenye taarifa za tukio la kuuwawa kwa askari wa FFU na wananchi maeneo ya tegeta atujulishe - Kama si kweli naombeni radhi kwa hili . -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone...
Read More :- "[wanabidii] TAARIFA ZA ASKARI WA FFU KUUWAWA TEGETA"

[wanabidii] Unamwamini Vipi Mpenzi wako na PASSWORD ?

Katika siku za karibuni tumekuwa na kesi nyingi za wapenzi kuibiana fedha , nyaraka na siri nyingine kwa njia ya mtandao haswa simu , barua pepe na mifumo mengine mbalimbali ya mawasiliano . Kitu kilichogunduliwa baada ya uchunguzi mwingi ni kwamba wapenzi wengi wanaaminiana sana haswa wanawake kuamini sana wapenzi wao wa kiume kiasi kwamba atampa password za email yake , kadi yake ya benki na hata siri za kazini kwake kisa anaogopa...
Read More :- "[wanabidii] Unamwamini Vipi Mpenzi wako na PASSWORD ?"

[wanabidii] Who Owns the News Media 2012

Who Owns the News Media is an interactive database of companies that own news properties in the United States. Use the site to compare the companies, explore each media sector or read profiles of individual companies. It provides detailed statistics on the companies that now own our nation's news media outlets, from newspapers to local television news stations to radio to digital, and this accompanying summary highlights...
Read More :- "[wanabidii] Who Owns the News Media 2012"

[wanabidii] +++ Let us imagine what a Jew might put to Jesus!

Let us imagine what a Jew -- let alone a philosopher--might put to Jesus: "Is it not true, good sir, that you fabricated the story of your birth from a virgin to quiet rumours about the true and unsavory circumstances of your origins? Is it not the case that far from being born in royal David's city of Bethlehem, you were born in a poor country town, and of a woman who earned her living by spinning? Is...
Read More :- "[wanabidii] +++ Let us imagine what a Jew might put to Jesus!"

[wanabidii] hali ya Dk Ulimboka yabadilika ghafla

Habari zilizopatikana mchana huu kutoa Hospitali ya Taifa Muhimbili, zinasema hali ya kiafya kiongozi wa Jumuia ya madaktari, Dk Ulimboka, imebadilika ghafla, kwamba ni mbaya tofauti na alivyokuwa asubuhi.Tunazidi kumwomba Mwenyezi Mungu alinde maisha ya Dk huyu ambaye alitekwa na kufanyiwa unyama na watu wasiojulikana.By Arodia Peter -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com...
Read More :- "[wanabidii] hali ya Dk Ulimboka yabadilika ghafla"

[wanabidii] Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni Apata Ajali Mbaya Nzega

Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni Amepata Ajali Mbaya wilayani Nzega mkoani tabora alikokuwa anasubiriwa kwa ajili ya kikao fulani , sasa hivi amekimbizwa hospitali ya mkoa kwa ajili ya Matibabu -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha...
Read More :- "[wanabidii] Naibu Waziri wa Elimu na Utamaduni Apata Ajali Mbaya Nzega"

[wanabidii] Fwd: FW: Media Freedom Survey

---------- Forwarded message ----------From: Legal and Human Rights Centre <lhrc@humanrights.or.tz> Date: Fri, Jun 29, 2012 at 12:09 PMSubject: FW: Media Freedom SurveyTo: pasience@gmail.com -----Original Message----- From: L. Schneider, Uni Hamburg [mailto:laura.schneider@uni-hamburg.de] Sent: Wednesday, June 27, 2012 4:13 PM To: lhrc@humanrights.or.tz Subject: Media Freedom Survey Dear LHRC-staff, I am a...
Read More :- "[wanabidii] Fwd: FW: Media Freedom Survey"

[wanabidii] TUOGOPE MAGARI TINTED!

This was forwarded to me, tuisome! Dear friends Leo nimeona ni vyema nika-share nanyi kisa hiki cha kutekwamfanyakazi mwenzetu ambaye ni cashier siku ya jumatano jioni wikiiliyopita. Ni kama movie lakini ni ukweli, cashier wetu aliomba ruhusa siku hiyo ya tukio aende kwenye mkutano wa wasabato uliokuwa uliendeleaviwanja vya biafra. Yeye pia ni msabato aliyeishika dini ya Sabato haswa, kwahiyo aliondoka saa kumi kamili...
Read More :- "[wanabidii] TUOGOPE MAGARI TINTED!"

Thursday, 28 June 2012

[wanabidii] Dr. Steven Ulimboka - MOI ICU

  SOURCE: http://www.wavuti.com/#axzz1z8IwWVMG ...
Read More :- "[wanabidii] Dr. Steven Ulimboka - MOI ICU"

[wanabidii] A new Egypt is steadily taking shape

A new Egypt is steadily taking shape Dr. Muhammad Morsi, the new president of Egypt. (Picture obtaind from: http://en.rian.ru/images/17379/12/173791264.jpg). Mobhare Matinyi, Washington DC, The Citizen, Tanzania. Thursday, 28 June 2012 21:02 This e-mail address is being protected from spambots. You need For the first time...
Read More :- "[wanabidii] A new Egypt is steadily taking shape"

[wanabidii] Hospital ya Mkoa wa Dodoma Yasimamisha 11 Kwa Mgomo

WAKATI mgomo wa madaktari ukiendelea katika mikoa mbalimbali, Madaktari 11 wa mafunzo kwa vitendo katika Hospital ya Mkoa wa Dodoma wamesimamishwa kazi kutokana na kuendelea na mgomo. -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha...
Read More :- "[wanabidii] Hospital ya Mkoa wa Dodoma Yasimamisha 11 Kwa Mgomo"

[wanabidii] BREAKING NEWSSS: Madaktari 72 watimuliwa kazi -MBEYA

http://mbeyayetu.blogspot.com/2012/06/breaking-newsss-madaktari-72-watimuliwa.html?spref=fb BODI ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya, imewasimamisha kazi madaktari 72 kwa kosa la kutoingia kazini kwa siku tano jambo ambalo ni kinyume cha makubaliano ya mkataba. Imeelezwa kuwa madaktari hao ambao 54 ni wale wa mafunzo ambao waliingia mkataba wa miaka miwili na hospitali ya Rufaa na madaktari 18 ni wale walioajiriwa na Wizara...
Read More :- "[wanabidii] BREAKING NEWSSS: Madaktari 72 watimuliwa kazi -MBEYA"

[wanabidii] Uchaguzi wa Rais Kwenye Nchi ya Kusadikika

...
Read More :- "[wanabidii] Uchaguzi wa Rais Kwenye Nchi ya Kusadikika"

[wanabidii] Looking for 2010 Export data by major exporters

Dear all We are looking for information on top exporters (constituting 50-70%) of Tanzanian exports of the following products for 2010: - Gold - Sisal - Manganese - Textile - Cotton - Cashew - Cloves - Wheat Any ideas on where we could get the data would be highly appreciated? In the absence of concrete data, even a lead as to who are the major exporters would be highly appreciated -- "Give your energy to things that give...
Read More :- "[wanabidii] Looking for 2010 Export data by major exporters"