mambo yanazidi kupamba moto, mwisho wa Robinson Mchau umefika - kuna mdada mmoja walienda na Robinson Mchau kujitambulisha kwa wazazi wa mdada uko Moshi vijijini, ikaandaliwa sherehe kubwa ya utambulisho, jamaa kala ubwabwa na soda, akaahidi ndoa itakuwa ivi karibuni. ndugu wa mdada wakamhoji Robinson Mchau "je una mke au mdada mwingine umemtakia kumuoa? ili isije ikawa binti yetu akapata madhara au laana kwa kuchukua mwanamme wa mtu mwingine" Robinson Mchau akajibu "hapana". Baada ya siku kadhaa watu wakamtonya mdada kwamba jamaa ana mke na akapelekwa mpaka KCMC kazini kwa mke wa Robinson Mchau kuonyeshwa mke mwenyewe, mdada kachanganyikiwa maana ndugu zake wote wanajua anaolewa na mchau. dada kumuuliza, mchau anadai kwamba hana mke na anang'ang'ania kuoa, pia kamlia pesa zake. huyu ni mmojawapo tu ya wadada ambao Robinson Mchau amewadanganya na amewatapeli. Robinson Mchauna kala na ametapeli pesa za wadada wengi sana. yaani atakuwa na laana mchau.
wadau iyo ndo hali halisi. sasa wanaomtetea shauri yao ila wajue wanazidi kuendekeza uovu wa Robinson Mchau. Ila lengo la ujumbe huu ni tahadhari kwa watu wasijikute kwenye mikono dhalimu ya Robinson Mchau
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment