Friday, 29 June 2012

[wanabidii] hali ya Dk Ulimboka yabadilika ghafla

Habari zilizopatikana mchana huu kutoa Hospitali ya Taifa Muhimbili, zinasema hali ya kiafya kiongozi wa Jumuia ya madaktari, Dk Ulimboka, imebadilika ghafla, kwamba ni mbaya tofauti na alivyokuwa asubuhi.

Tunazidi kumwomba Mwenyezi Mungu alinde maisha ya Dk huyu ambaye alitekwa na kufanyiwa unyama na watu wasiojulikana.

By Arodia Peter

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment