Saturday, 7 July 2012

[wanabidii] Hongera Hasheem Thabeet kwa kingia mkataba wa miaka 2 na Oklahoma City

Hasheem Thabeet, Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu Marekani amesaini mkataba wa miaka 2 na timu ya Oklahoma City Thunder..!!!Watanzania ni wakati sasa wa kujivunia mafanikio ya baadhi ya watanzania wanaofanya vizuri katika viwango vya kidunia, katika historia ya michezo tangu tupate uhuru ni Hasheem Thabeet pekee ndio ameweza kufanikiwa na kucheza ligi ya juu kabisa duniani katika michezo.Wako watanzania wengi wamefanikiwa...
Read More :- "[wanabidii] Hongera Hasheem Thabeet kwa kingia mkataba wa miaka 2 na Oklahoma City"

[wanabidii] Ushauri wa mbowe juu ya msongamano wa magari

Nimesoma katika magazeti kuwa Mbowe katoa mapendekezo kadhaa juu ya kupunguza msongamano wa magari dar, baadhi ya point nilizoona ni; 1. Kuwekwa ada za magari kuingia mjini   2. Ziachwe njia za watembea kwa miguu   3. Yajengwe madaraja ya watembea kwa miguu.   Labda namie niseme; 1. Kuwekwa ada za magari kuingia mjini Tayari ada zipo kwa jina la "parking fee" lakini haijasaidia, kuiongeza ni kumuumiza binti...
Read More :- "[wanabidii] Ushauri wa mbowe juu ya msongamano wa magari"

[wanabidii] THE POLITICS OF INVESTMENT IN LARGE SCALE AGRICULTURAL VENTURES; CASE OF MPANDA RUKWA TANZANIA

LAND RIGHTS RESEARCH AND RESOURCES INSTITUTE LARRRI/HAKIARDHI By Bernard Baha Senior Programme Officer Research Publication and Documentation THE POLITICS OF INVESTMENT IN LARGE SCALE AGRICULTURAL VENTURES; CASE OF MPANDA RUKWA TANZANIA   1.0  Introduction Tanzania has always been a country in the spotlight over cases of land grabbing for various uses. Over the recent past there has been...
Read More :- "[wanabidii] THE POLITICS OF INVESTMENT IN LARGE SCALE AGRICULTURAL VENTURES; CASE OF MPANDA RUKWA TANZANIA"

[wanabidii] Reinforcing presumed religious identities

Thought this could refresh your meditations, through mediations!Slm Reinforcing presumed religious identities Source: butterfliesandwheels.org Where are women and secularists of Muslim countries in Obama's speech in Cairo?   ...
Read More :- "[wanabidii] Reinforcing presumed religious identities"

Friday, 6 July 2012

[wanabidii] We The People How To Save An American Economy

  Folks,     It is the people who must do the right thing to bring change that can be believed on, change that is meaningful and change that can be relied upon. If Congress is not able to work, it is important that voters put in new people who can work and effect changes that are needed as necessary. For those leaders who must have their way or no way, voters must decide.   Political Lobbyist who...
Read More :- "[wanabidii] We The People How To Save An American Economy"

[wanabidii] Ile maana ya Mwenge wa Uhuru bado tunaiheshimu?

Tanzania...Tanzaniaaa... Nakupenda kwa moyo woteee... Nchi yangu Tanzaniaaa... Jina lako ni tamu sanaaa... ...
Read More :- "[wanabidii] Ile maana ya Mwenge wa Uhuru bado tunaiheshimu?"

[wanabidii] Viongozi Mbona Kimya?/Tungo Zetu

Isilamu na Wakristo, mapadri na maimamuUwe John au Mrisho, kabwela na taalamuNa mkumbuke ya mwisho, bila ya kutabasamuMoja, mbili au tatu: viongozi mbona kimya?Bila ya kutabasamu, turekebeshe KatibaWajibu biniadamu, kutumia maarifaTushike zetu khutwamu, tupambe letu TaifaMoja, mbili au tatu: viongozi mbona kimya?Tupambe letu Taifa, sote tuje songa mbeleKwa gazeti na jarida, malumbano na tongoleTujue tulipofika, mashababi na...
Read More :- "[wanabidii] Viongozi Mbona Kimya?/Tungo Zetu"

[wanabidii] MoU with Iran should be made public

Obsolutely Kombo,     You are right. Under the National Reform Accord for Public Mandate, It is fair that Transparency and Accountability for Memorundum of Understanding between Kenya, China and Iran oil deal should be made available to public demand urgently. It is also important that public get the proof of that Trading committment to ascertain fairness of trading practices as per Public Mandate ...
Read More :- "[wanabidii] MoU with Iran should be made public"

[wanabidii] MUWAZA YAPONGEZA MSIMAMO WA JUMIKI KUHUSU KATIBA

Kwa Uongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu( JUMIKI) S.L.P 1266 Mkunazini-Zanzibar E-Mail: jumiki@hotmail.com Assalama Aleikum, Kuhusu: Mkakati Kwa niaba ya Wanachama wa Jumuiya ya Mustakbal wa Zanzibar (MUWAZA), Muungano wa Wazanzibari ng'ambo, tunaipongeza Jumuiya ya JUMIKI kwa uamuzi wa kijasiri na kishujaa wa Viongozi wake kushiriki pamoja na Wazanzibari wenziwao wote katika mchakato wa kutafuta katiba...
Read More :- "[wanabidii] MUWAZA YAPONGEZA MSIMAMO WA JUMIKI KUHUSU KATIBA"

[wanabidii] Share your experience on HIV Tests

Most people believe that HIV tests should be taken just once. I've questioned lots of my friends, a large percentage of them have only had the test ONCE. I believe tests should be conducted at least twice a year! (I stand to be corrected, though). Wanabidii, how many times have you had an HIV test, and how confident were you before the results came out. Also, when last did u do that? Please, share your experience....
Read More :- "[wanabidii] Share your experience on HIV Tests"

[wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam

Kuanzia tarehe 01/07/2012 Mamlaka ya Viwanja vya Ndege imepandisha Ada ya kuingiza magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kutoka sh. 500 hadi 1,000. Binafsi ninajiuliza ni vigezo gani vimetumika kupandisha tozo hii na ni kwa faida gani? Kuna mtu anaweza kutoa msaada kujua kulikoni? -- Bariki G. Mwasaga,P.O. Box 3021,Dar es Salaam, Tanzania+255 754 812 387 -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com ...
Read More :- "[wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam"

[wanabidii] MAONI YA MHE BERNARD MEMBE KUHUSU SAKATA LA MELI ZA IRAN

Serikali imepokea taarifa kuhusu tuhuma za meli za Iran kupeperusha bendera za Tanzania ili kukwepa vikwazo. Serikali ya Jamhuri ya Muungano na SMZ hazitaki kupuuza taarifa hizi. Serikali zote mbili zimeamua kufanya uchunguzi ili kuthibitisha. Tanzania imewaarifu nchi zilizolalamika marafiki kuwaomba kusaidiana nasi kufanya uchunguzi na kushirikiana kuthibitisha taarifa hii. Tumefanya hivyo kwa kuzingatia uwezo wetu wa kiutafiti...
Read More :- "[wanabidii] MAONI YA MHE BERNARD MEMBE KUHUSU SAKATA LA MELI ZA IRAN"

Thursday, 5 July 2012

[wanabidii] sales and operations people wanted

Good Day people,We need sales and operations people.Mostly we need people who are based at the coast, especially ladies are encouraged to apply.please fwd your cv to daniel@zotetelkom.co.ke regardsbilly otieno oluoch+254 726 321655 -- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda ...
Read More :- "[wanabidii] sales and operations people wanted"

[wanabidii] UJUMBE WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI KWA WATANZANIA WOTE WENYE MAPENZI MEMA

UJUMBE WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA KWA WAAMINI WAKATOLIKI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA 30-06-2012 SISI Maaskofu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania tumekutana katika mkutano wetu Mkuu wa 65 wa kawaida tangu tarehe 23/06/2012 hadi 30/06/2012 Uliowajumuisha Wakuu wa Mashirika ya Kitawa na wakuu wa Idara ,Tume na Taasisi za Baraza Pamoja na Wawakilishi Walei. Lengo la Mkutano huu likiwa kutathimini shughuli za...
Read More :- "[wanabidii] UJUMBE WA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI KWA WATANZANIA WOTE WENYE MAPENZI MEMA"