Friday, 6 July 2012

[wanabidii] Nyongeza ya Ada ya Kuingiza Gari JNIA, Dar es Salaam

Kuanzia tarehe 01/07/2012 Mamlaka ya Viwanja vya Ndege imepandisha Ada ya kuingiza magari kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kutoka sh. 500 hadi 1,000. Binafsi ninajiuliza ni vigezo gani vimetumika kupandisha tozo hii na ni kwa faida gani? Kuna mtu anaweza kutoa msaada kujua kulikoni?

--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment