Mtu yeyote ambaye anabeza jitihada za chadema namuomba arejee historia za nchi mabali mbali ili aweze kufungua macho na kuuona ukweli.Nikumbushe enzi za akina Tsar Nicolas nchini Urusi miaka ya 1905 hadi kumi na saba.Tsari alijulikana kama Mungu mtu little father kilicho tokea ni bloody sunday ya mwaka 1905 na mapinduzi 1917.
Wajerumani wamechagua Adolf Hitler na chama cha nazi mika ya 1929na uchaguzi mkuu 1933 ni kwamba walimpenda Hitler bali ni m,atatizo ya kukosa ajira,uchumi mmbaya ulioo kuwepo chini ya chama cha Weimar republic ambapo watu walichanganya vumbi la mbao na unga wa mahindi.
Watanzania wa leo tuhitaji viongozi imara,chama chenye tija,nia dhabiti na kutumia rasimari zetu vizuri.Adolfu Hitler aliijenga ujerumani ndani ya miaka kumi na sita na na ujerumani ikayumbusha mataifa mengine ya uraya na hata marekani.Staslin nchini Urusi chini ya mpango wake wa FIVE YEARS ECONOMIC PLAN Uchumi iliimarika na alikuwa tishio kwa marekani miaka ya 1945 1960.
Tuko wapi baada ya uhuru?Tunaenda wapi?Tanzania hii ni ya nani na kwa nani.
Amina
0 comments:
Post a Comment