Thursday, 7 June 2012

[wanabidii] Google na Emails Zetu!

Jamani wanabidii,

Leo nimeshtushwa nilipokua ninapekua jina langu kupitia wavuti ya google.
Nimekuta baadhi ya ujumbe nilizoandika kwene  kundi hili zinajianika hadharani kupitia wavuti hiyo. Ninaomba kwanza, nielekezwe namna ya kuzitoa/kuzifuta. Pili wataalam wanisaidie kujua ni kosa lal nani kuwa ziko kule. Tatu  kama kosa ni la google nishaurini kama naweza kuwashitaki kwa kuvunja haki yangu ya faragha na usalama, IT Lawyers nisaidieni. 

Nitashukuru.

"I see the future and it works"

0 comments:

Post a Comment