Wednesday, 27 June 2012

[wanabidii] TAFADHANI NIPIGIE ZA TIGO


Kuna kitu kinaniudhi sana kwenye mtandao wetu wa TIGO. unapokuwa huna salio na wewe bila kujua ukampigia simu
mtua anapokea ujumbe wa tafadhali nipigie, ujumbe huu mimi si upendi kwasababu saa nyingine unampigia
 mtoto au msichana wa kazi nyumbani anashangaa mama ananiomba nimpigie?
Naomba tigo mtu anapopiga simu kama salio lake halitoshi mwambieni salio lako halitoshi na siyo kumtumia ujumbe wa Tafadhali nipigie kwa aliyekuwa anapigiwa. Sometimes inadhalilisha watu.

0 comments:

Post a Comment