Thursday, 21 June 2012

[wanabidii] KAULI YA JOHN MNYIKA

Inasikitisha kuona kuwa sheria ni msumeno kwa upande mmoja,,,,,Serikali inabidi kuliona hili mapema ili kupunguza Chuki za wananchi dhidi yake..Suala la Mnyika fkwa mfano ... walio wengi wanamuunga mkono kwa kumbukumbu za alichosema Mwigulu, Komba na Lusinde....

Angalia kwa mfano pia jinsi Sheukindo alivyofurahisha watu kwa kufanya kazi yake Bungeni badala ya kupiga soga za kuponda wapinzani

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment