Pamoja na lawama ambazo Jumuia ya Uamsho wanatupiwa, mimi nawashukuru sana kwa kuwa wametuamsha kutoka kwenye usingizi mzito tuliolazwa na CCM kuwa hatuwezi kuchanganya dini na siasa.
Kumbe CCM nia yao waendelee kutukandamiza, kutunyanyasa, kutubeza na kutuonea bila kukemewa na Viongozi wa Dini!
Asanteni Jumuia ya Uamsho kwa kutuamsha toka usingizini.
0 comments:
Post a Comment