Monday, 25 June 2012

[wanabidii] GDSS YA TAREHE 27/6/2012; MADA: KATIBA NA MFUMO WA ELIMU NCHINI

_______________________________________________
Staff mailing list
Staff@tgnp.org
http://tgnp.org/mailman/listinfo/staff_tgnp.org

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

 UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII CHARLES KAYOKA  ATAWASILISHA

 

MADA: Katiba na Mfumo wa Elimu Nchini

 

Lini: Jumatano Tarehe 27/6/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  

WOTE MNAKARIBISHWA

0 comments:

Post a Comment