Tuesday, 3 July 2012

[wanabidii] MAANDAMANO KESHO

chama cha mapinduzi (ccm) wilaya ya nyamgana  mkoani mwanza kesho kufanya maadamano ya amani kuishinikiza madaktari kurejea kazini na kutoa huduma kwa wagonjwa 

katibu wa wilaya hiyo deogratius  rutta amesema hayo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari   ofisini kwake 

amesema maandano hayo yataanza saa tisa alasiri kwakuanzaia ofisi za wilaya ya nyamagano  hadi katika ofisi za wilaya ya nyamagana ambapo maandamano hayo yatapokelewa na mwenyekiti  wa  ccm  mkoa wa mwanza  clement  mabina 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment