Thursday, 5 July 2012

[wanabidii] Akaunti ya facebook - Tume ya Mabadiliko ya Katiba

Wakuu,

Sasa tunaweza kuwasilisha maoni kuhusu Katiba Mpya, kupitia Facebook, kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa akaunti ya iliyoanzishwa kwa jina 'Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania'. Pamoja na njia hii, tunaweza pia kuwasilisha kupitia tovuti (www.katiba.go.tz)...

Rgds
 
Omega S. Ngole,
Principal Information Officer,
Constitutional Review Commission (Tanzania),
Ohio Street, 
PO Box 1681,
Dar es Salaam,
Tel: +255 (0) 22 2133425,
Fax: +255 (0) 22 2133442,
Mobile: +255 (00 757 500800,
Website: www.katiba.go.tz

0 comments:

Post a Comment