Ndugu wanabodi,
Nilipata taarifa kuwa Dr. Slaa atafanya au pengine ashaanza ziara ya siku kumi katika mkoa wa Dar es Salaam. Katika ziara hiyo bila shaka kwa sababu ni mkoa mzima ningependa Bwana Tumaini Makene utuwekee ratiba hapa . Niko na hamu sana kujua katika Wilaya ama Kata yangu atakuja lini ili kama kutakuwa na mkutano wa hadhara nihudhurie.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment