Ndugu zangu
Mmesikia taarifa hii kwamba Zanzibar imeanza kufanya taratibu kadhaa
kwa ushirikiano na nchi kadhaa za ghuba ili kuwawezesha kuwa na vinu
vya nyuklia kwa ajili ya kuzalisha umeme na matumizi mengine na kuacha
utegemezi wa tanesco na hii imekuwa agenda ya kundi la uamsho kwa
kipindi kirefu iliyokuwa inatangazwa lakini kwa siri kubwa .
Ni vizuri watu waamke na kupinga mpango huu wa nyuklia kwa visiwani na
maeneo yote ya afrika ya mashariki suala hili linaweza kuleta tabu na
haswa ushindani wa silaha katika eneo hili kwa siku zijazo .
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment