TBF inayofuraha kuwatangazia kuwa kutakuwa na mafunzo ya vijana wadogo chini ya miaka 17 ya kikapu yatakoendeshwa na Kocha Greg kutoka USA.
Tafadhali angalia press release ya leo kuhusu Basketball Clinic hiyo ya Arusha itakayofanyika jumamosi na jumapili ijayo.
Ahsante,
Phares Magesa
TBF- Vice President
Tafadhali angalia press release ya leo kuhusu Basketball Clinic hiyo ya Arusha itakayofanyika jumamosi na jumapili ijayo.
Ahsante,
Phares Magesa
TBF- Vice President
0 comments:
Post a Comment