KAMPUNI YA RANCHI ZA TAIFA LIMITED NARCO
TANGAZO LA NG'OMBE WANAOUZWA KATIKA RANCHI ZA
RUVU, KONGWA NA MZERI HILL-TANGA
LIMETOLEWA TAREHE 21/06/2012
Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited (NARCO) inawatangazia
wafanyabiashara wote wa ng'ombe kuwa imeanza zoezi la kuwauza ng'ombe
walioandaliwa na wataalamu waliobobea na kwa teknolojia rafiki kwa
afya za walaji kupitia Miradi yake Kabambe ya Mifugo iliyoko Ranchi za
Kongwa, Ruvu na Mzeri Hill-Tanga. Ng'ombe wetu hawana mpinzani kwa
ubora na bei.
Kwa Mawasiliano:
Meneja Masoko
National Ranching Company Ltd (NARCO)
Mavuno House, Azikiwe street
Dar Es Salaam
Fax +255 22 211 1956
Mob +255 753002035, +255 715831241, +255 787831241
Email: immanuel.mnzava@narco.co.tz
skype:mnzava.immanuel
Web: www.narco.co.tz
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment