Tuesday, 12 June 2012

[wanabidii] TAHADHARI KUHUSU KUBADILISHA SUBJECT YA MADA ZINAZOENDELEA

Ndugu zangu

Napenda kutoa tahadhari tena kwa wale wanaobadilishwa vichwa vya mada
zinazoendeea .

Kwa mfano dakika 30 zilizopita Asha msisa amebadili kichwa cha mada ya
WAISLAMU KUANDAMANA na kuweka NANI KAMA JK kwa makusudi ya kuvuruga
mada hiyo .

Naomba tukitaka kuanzisha mada tuanzishe upya kwa kutumia email zetu
na sio kuingilia mada nyingine zinazoendelea .

Atakayebadilisha ataondolewa jukwaani na hatorudishwa tena katika
jukwaa la wanabidii

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment