Tuesday, 26 June 2012

[wanabidii] Kiongozi wa Mgomo wa Madaktari Dr Ulimboka Hajulikani Alipo

Ulimboka ametekwa majira ya saa sita usiku na watu watatu waliokuwa na
silaha na kumpeleka kusikojulikana! Inasemekana alipigiwa simu na mtu
aliyejitambulisha kama abedi ambaye amekuwa akiwasiliana naye na
kujiita afisa wa serikali na kudai kuwa alitaka aonane naye face to
face kwa ajili ya reconciliation.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment