Habari!
Achievers clun Tanzania inaleta kwenu uzinduzi wa kitabu cha mambo ya ujasiriamali kilichoandikwa na Mr Deogratius Kilawe(President wa achievers club Tanzania) julai pale Holiday INN Hotel dsm,Kuanzia saa nane mchana mpaka saa 1 usiku,Mgeni rasmi ni Balozi Dismass Nguma, na Pia tunatarajia kuwepo na Dr Mary Nagu.Kama ungependa kuhudhuria uzinduzi na semina pale Holiday INN wasilaiana nami sasa ili nikuweke kwa listi ,ni Tsh 10000 kwa semina mpaka mwisho,Pia kama ungependa kuhudhuria session ya uzinduzi wa kitabu tu Ni bure lakini unatkiwa uwe umenunua au ununua kitabu ambacho ni Tsh 6000,Faida ya kuhudhuria uzinduzi wa kitabu na semina ya fursa za biashara zilizopo Tanzania kukutana na wafanyabiashara mbalimbali Tanzania na kutengeneza wigo wako wa masoko,Kupata fursa ya kujiunga na achievers club na kuwa kwenye jumuia ya wafanyabiashara ambapo lengo kubwa la achievers club ni kuunganisha wafanyabiashara na kuchuma fursa za Tanzania.
.Please confirm now 0717109362.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment