Tuesday, 3 July 2012

[wanabidii] Mwigulu Nchemba na Propaganda mjengoni

Nina wasi wasi na ufahamu na Mhe. Nchemba juu ya mambo ya msingi bungeni. Ametumia muda wake wote kuongea nje ya hoja.
Huyu Mhe. ni graduate wa uchumi na alijitambulisha kama mchumi daraja A. Mbona anaonekana mwepesi kwenye kujenga hoja za msingi
wakati akichangia bajeti ya Ofisi ya Rais Utumishi???

0 comments:

Post a Comment