Tuesday, 12 June 2012

[wanabidii] Wanabidii Kutembelea Jamhuri Media - Gazeti la Jamhuri

Tunapenda kuwaalika wale wote wanaopenda kujumuika nasi kwenye ziara
ya kutembelea Jamhuri Media , waandaaji wa gazeti la kila wiki siku ya
jumanne linaloitwa Jamhuri .

Tunaomba mapendekezo kuhusu siku za kutembelea maana kuna Jumatano ,
Alhamisi na Ijumaa .
Karibuni sana .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment