Tuesday, 26 June 2012

[wanabidii] Wahamiaji Haramu 40 Kutoka Ethiopia Wafa Mkoani Dodoma

WAHAMIAJI haramu 42 raia wa Ethiopia wamekufa katika Kijiji cha
Chitego Tarafa ya Zoisa Wilayani Kongwa mkoani Dodoma wakiwa safarini
kutoka Ethiopia kwenda Malawi.

Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinasema kuwa wengine 74 hali
zao ni mbaya sana kutokana na kukosa chakula na maji hivyo wanaendelea
kupatiwa matibabu.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

1 comments:

  1. Jamani naomba mnisaidie nimpate baba
    anaitwa cyprian kawishe ntashukuru
    kwaatakae mpata micjui pakuanzia

    ReplyDelete