Sunday, 17 June 2012

[wanabidii] Tofauti ya Biblia na Kitabu cha Neno la Mungu

naomba msaada wa kujua Tofauti Kati ya Biblia na Kitabu cha Neno la
Mungu sikuhizi makanisani wengine wabeba vitabu vilivyoandikwa Kitabu
cha Neno la Mungu wengine Biblia naomba kujua tofauti zao naijua
biblia tu

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment