Monday, 18 June 2012

[wanabidii] SHKRANI ZA WANAFAMILIA

WAPENDWA,

SHUKRANI

FAMILIA YA MAREHEMU PARADIUS MUCHURUZA; INATOA SHUKRANI KWA NDUGU; JAMAA NA MARAFIKI WOTE AMBAO WALITOA MISAADA YA HALI NA MALI, USHAURI, FARAJA NA MAOMBI WAKATI WOTE WA MSIBA WA MAMA YAO MPENDWA BI. ELIFRIDA KENGALO KACHUNKWA ALIYEAGA DUNIA TAREHE 9.6.2012 NA KUZIKWA HUKO NYUMBANI KWAO KIJIJINI KIZIGO, KAMACHUMU, WILAYA YA MULEBA TAREHE 13.6.2012. MUNGU AWABARIKI NYOTE NA KUWAONGEZEA REHEMA ZAKE.                                                                                                                   

"UPUMZIKE KWA AMANI MAMA YETU"

 

Tafadhali fungua "link" hizi kwa kufuatilia taratibu za kumsindikiza mama yetu.

http://bukobawadau.blogspot.com/2012/06/safari-ya-kuupeleka-mwili-wa-marehemu.html

http://bukobawadau.blogspot.com/2012/06/safari-ya-mwisho-ya-kuuaga-mwili-wa.html

http://bukobawadau.blogspot.com/2012/06/tunatoa-pole-kwa-bwyusto-muchuruza.html


--
---------------------------------------
Yusto Paradius Muchuruza
EXECUTIVE DIRECTOR - KADETFU
P.O. Box 466, BUKOBA, TANZANIA 
Skype: y.p. muchuruza
Tel/Fax: +255 28 2220717

=============================
"Without knowledge action is useless and knowledge without action is futile."
(The Islamic philosopher Abu Bakr)


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment