Saturday, 9 June 2012

[wanabidii] Mjengwablog Inaripoti ' live' Kutoka Mkutano Wa CCM Jangwani....


Mchana huu, ni kwenye uwanja uliopachikwa jina CHADEMA SQUARE wiki mbili zilizopita CCM Wana Mkutano hapohapo leo.Hili ni moja ya matangazo yao waliloweka Buguruni.Wanaweza nao kuuita CCM SQUARE.Tusubiri tuone.... Tembelea; http://mjengwablog.com/

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment