BARAZA LA MAWAZIRI KIVULI NA MABADILIKO YA WIZARA KIVULI
No. | WIZARA KIVULI | WIZARA YA SERIKALI | KAMATI HUSIKA YA BUNGE | WAZIRI KIVULI | NAIBU WAZIRI |
1. | OFISI YA WAZIRI MKUU | OFISI YA WAZIRI MKUU | -SHERIA NA KATIBA, -FEDHA ,UCHUMI +MIPANGO | KUB- FREEMAN A.MBOWE | |
2. | WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU
| 1.SERA,URATIBU NA BUNGE 2.UWEKEZAJI NA UWEZESHAJI 3. TAMISEMI— ELIMU -TAWALA ZA MIKOA | | DAVID ERNEST SILINDE |
|
3. | MIUNDOMBINU | UJENZI NA UCHUKUZI | MIUNDOMBINU | SAID ARFI | PAULINE GEKUL |
4 | WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS | OFISI YA RAIS 1-UTAWALA BORA 2-MAHUSIANO NA URATIBU 3- MENEJIMENT YA UTUMISHI WA UMMA | -SHERIA NA KATIBA. -FEDHA NA UCHUMI | PROF. KULIKOYELA KAHIGI |
|
5. | FEDHA UCHUMI NA MIPANGO | WIZARA YA FEDHA | FEDHA NA UCHUMI | ZITTO KABWE | CHRISTINA MUGHWAI |
6. | KATIBA SHERIA NA MUUNGANO | KATIBA NA SHERIA+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MUUNGANO | SHERIA NA KATIBA | TUNDU A.LISSU | |
7. | MALIASILI,UTALII NA MAZINGIRA | MALIASILI NA UTALII+OFISI YA MAKAMU WA RAIS MAZINGIRA | MALIASILI NA MAZINGIRA | MCH.PETER MSIGWA | |
8. | MAMBO YA NDANI YA NCHI | MAMBO YA NDANI | MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA | VICENT NYERERE | |
9. | MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI | MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA+ USHIRIKIANO WA AFRIKA YA MASHARIKI | MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA | EZEKIAH D.WENJE | RAYA IBRAHIM KHAMIS |
10. | ULINZI NA JKT | ULINZI NA JKT | MAMBO YA NJE ULINZI NA USALAMA
| MCH.ISRAEL NATSE | |
11. | MAJI,MIFUGO NA UVUVI | MAJI NA UMWAGILIAJI+ MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI | KILIMO ARDHI NA MAJI | SYLVESTER M.KASULUMBAYI | |
12. | KAZI,HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO | HABARI,VIJANA NA MICHEZO+ KAZI NA AJIRA | MAENDELEO YA JAMII | JOSEPH O.MBILINYI | CECILIA PARESSO |
13. | NISHATI NA MADINI | NISHATI NA MADINI | NISHATI NA MADINI | JOHN MNYIKA | |
| | | | | |
14. | VIWANDA NA BIASHARA | VIWANDA NA BIASHARA | VIWANDA NA BIASHARA | HIGHNESS KIWIA | |
15. | AFYA, JINSIA NA JAMII | AFYA NA USTAWI WA JAMII+MAENDELEO YA JAMII JINSIA NA WATOTO | -HUDUMA ZA JAMII -MAENDELEO YA JAMII | DR. GERVAS MBASSA | CONCHESTA RWAMLAZA |
16. | ELIMU,SAYANSI NA TEKNOLOJIA | ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI + SAYANSI TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO | -HUDUMA ZA JAMII -MIUNDOMBINU | SUZAN A.LYIMO | JOSHUA NASSARI |
17. | KILIMO NA USHIRIKA | KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA | KILIMO, MIFUGO NA MAJI | ROSE SUKUM KAMILI | |
18. | ARDHI,NYUMBA NA MAKAZI | ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI | ARDHI, MALIASI NA MAZINGIRA | HALIMA MDEE | |
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment