Staff mailing list
Staff@tgnp.org
http://tgnp.org/mailman/listinfo/staff_tgnp.org

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII KIKOSI KAZI BAJETI WATAWASILISHA
MADA: BAjeti ya Taifa ya 2012/13:Ni Kwa Manufaa ya Nani?
Lini: Jumatano Tarehe 20/6/2012
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment