Saturday, 16 June 2012

[wanabidii] KAPOMBE MWANAMICHEZO BORA WA MWAKA

Kiraka wa Simba na Taifa Stars Shomari Kapombe amewatesa wapinzani wake baada ya kunyakua tuzo mbili ya Mwanamichezo Bora Chipukizi na ile kubwa ya Mwanamichezo Bora wa Mwaka!

Kwa Upande mwingine Okwi aliwaburuza wapinzani wake kina Fabregas wa Yanga na Kipre wa Azama baada ya kutwaa tuzo ya Mwanamichezo Bora wa Kigeni wakati Mbwana Samatta alitwaa tuzo ya Mchezaji Bora anayecheza Nje ya Tanzania

Simba Oyee!
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment