Ndugu zangu, pamoja na vurugu zote zilizotokea Zanzibar na makanisa kuchomwa moto, hakuna raia yeyote aliyeuliwa na Polisi labda kama wameficha taarifa hizo.
Kama ni kweli hakuna raia aliyeuliwa, naomba basi Polisi wetu wa huku bara waende Zanzibar wakajifunze kutuliza ghasia bila kutoa roho za watu!
0 comments:
Post a Comment