Saturday, 2 June 2012

[wanabidii] Hotuba na Pics za kufunga Clinic ya Sprite Hasheem Thabeet Clinic 2012

Clinic ya kikapu vijana wa chini miaka 17 iliyodhaminiwa na Sprite na kuendeshwa na Hasheem Thabeet imefungwa leo.
 
Na sasa tunaendelea na maandalizi ya Clinic yingine kama hiyo  ya vijana 100 itakayofanyika Arusha ijumaa ijayo tarehe 9 na 10 Juni, 2012 itakayoendeshw na kocha Greg Brittenham toka USA.

Angalia hotuba za Naibu Waziri wa Elimu Mhe. Phillipo Mulugo na ya TBF , pia picha za tukio la leo zimeambatanishwa.
 
Phares Magesa
Makamu wa Rais- TBF

0 comments:

Post a Comment