Saturday, 2 June 2012

[wanabidii] Hamisi Kigwangalla, the story!

Nimesoma website ya mbunge wa Nzega imenivutia sana hususani ile sehemu ya ''hamisi kigwangalla, the story http://hamisikigwangalla.com/?page_id=178  '' nikatamani wanasiasa wetu wote wangekuwa wanaweka wazi story zao kama huyu kijana. nimekuta kule JF nikafuatilia link na kukuta pia ameweka mikakati ( http://hamisikigwangalla.com/?page_id=41 ) ya ukweli sana, kama atatekeleza basi atakuwa mb wa maisha nzega kwani atatolewa kwa lipi kama haya aliyoyapanga kuyafanya atayatekeleza? 


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment