Monday, 11 June 2012

[wanabidii] GDSS YA TAREHE 13/6/2012;MADA: BAJETI YA 2012/13: NINI MATARAJIO YA WANANCHI KWA MTAZAMO WA KIJINSIA????

 

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

 UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII BATT  WATAWASILISHA

MADA: BAjeti ya 2012/13:Nini Matarajio ya Wananchi Kwa Mtazamo wa kijinsia?  

Lini: Jumatano Tarehe 13/6/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  

WOTE MNAKARIBISHWA

0 comments:

Post a Comment