
SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII FORDIA WATAWASILISHA
MADA: Mambo Kinzani Kati ya Katiba ya Zanzibari ya 2010 na Katiba ya Tanzania ya 1977: Je, nini matarajio ya wananchi kuhusu hatima ya Muungano?
Lini: Jumatano Tarehe 06 Juni, 2012
Muda: Saa 09
MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni
WOTE MNAKARIBISHWA
0 comments:
Post a Comment