Tuesday, 5 June 2012

[wanabidii] Chadema------



Sio kweli kuwa wana edit picha za mikutano! Hapa tunataka kujifurahisha tu! Nimetoka Mtwara kikazi, umati uliokuwa kwenye mikutano hiyo sijapata ona,labda ule wa ziara ya Papa nchini!!
 
Sasa kama hatuamini, time will tell!!!
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment