Ndugu zangu poleni na shughuli za kulijenga taifa letu la Tanzania.Mimi pamoja na baadhi ya wanafunzi tuliomaliza shule ya msingi Kiezya iliyoko mkoani Kigoma tunapenda kuwataarifu wanafunzi wote walio maliza katika shule hiyo(KIEZYA) kuwa tumeanzisha umoja wa wanafunzi waliosoma shuleni hapo
lengo la kwanza nikuangalia nijinsi gani tunaweza kutoa mchango wetu katika shule hiyo hii ikiwa nipamoja na kuchangia elimu kama vile vitabu madaftali madawati n.k hii nikuwasaidi wadogo zetu na watoto wetu walioko hapo kusoma katika mazingira mazuri
Jambo jingine nikufahamiana. Hii haijalishi kama unatokea mkoa huo kwa maana kikabila mtu yoyote aliyesoma hapo tungependa ashiriki pamoja nasi.
Tayari Tumefungua A/C na tunapesa kiasi kama kianzio cha ummoja huu,sasa tumeona nibora tuwajulishe na wengine watakaoona umuhimu wa kushiriki nasi katika jambo hili. Kwa taarifa zaidi
wasiliana na mwenyekiti kwa mail: mazokoallen@yahoo.com
ukipata ujumbe huu mtaarifu na mwenzako
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment