wananchi wenye hasira wamevamia kituo cha polisi Malampaka wilaya ya
Maswa kwa nia ya kumuua askari anayedaiwa kumuua raia katika vurugu
zilizuka awali na kusababisha kifo cha raia mmoja mpaka sasa askari
huyo amejifungia ndani ya kituo akijihami kwa kufyatua risasi hewani
na raia nao wamezunguka kituo wakitaka kumuua au kuchoma moto kituo
hicho, vurugu ni kubwa na Polisi wa Maswa hawajafika kutoa msaada.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment