Wapendwa, Kuna baadhi ya watu wamebainika kutumia jina la Save the Children kufanya utapeli katika jamii kama inavyoeleza taarifa iliyoambatanishwa hapa. Ingawa baadhi ya watuhumiwa wamekamatwa, tunaomba mtusaidie kuufahamisha umma juu ya utapeli huu unaofanywa na baadhi ya watu kwa kutumia jina la Save the Children. Asanteni Sitta
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment