Kushindana si kupasua mbao
Iweje umekua Mwenye Kiti
Kufuzu, bora utambue hayo!
--------
Yalio bora kulumbana
Si lazima yawe manene
Hoja njema si kubanana!
------
Kutokujali hoja tofauti
Ni kubainisha wingi utoto
Bati limeshinda nguvu makuti!
------
Salim H. M. Bwanatosha
Paris, France
+33-6-33071051.
From: tony_uk45@yahoo.co.uk
Date: Sat, 23 Jun 2012 03:02:24 +0000
Henry,
Sioni kama Yona anakosa au eti haambiliki! Ushabiki wetu wa kiitikadi tu ndilo tatizo kubwa na afadhali tungelijua hili, lakini tumegubikwa na ugonjwa wa mapenzi hatutaweza kuona upande mwingine wa maoni tofauti na kipenzi chetu.
Kipendaroho hula nyama mbichi, ndilo neno la wahenga wetu! Kutokubali hoja tofauti ni kasoro kubwa ya kiutu/kibinadamu!
Ni mawazo huru tu!

0 comments:
Post a Comment